[00:00.00]Mzee Mandela - Khadja Nin [00:18.89]Ndani yangu ni raha na sorrow [00:24.35]Nikiwaziya baba [00:29.99]Myaka ishirini na saba ya sorrow [00:38.88]Kwa bahati [00:41.31]Mutu wa haki hana boga ju ana kweli [00:52.22]Mbele ya silaha ukashimamiya uhuru [01:02.07]Nelson mandela [01:06.74]Mzee madiba baba yetu [01:13.12]Nelson mandela [01:17.85]Mzee madiba baba yetu [01:25.85]Damu ya wana wa South Africa [01:31.28]Hayikumwangika bure [01:36.97]Ata kama makumbuko yako ana sorrow [01:48.14]Pole pole baba watu wanajifunza [01:54.05]Ku kaa pamoja [01:57.92]Nelson mandela [02:02.58]Mzee madiba baba yetu [02:08.98]Nelson nelson mandela [02:13.71]Mzee madiba baba yetu [02:20.13]Nelson mandela [02:24.80]Mzee madiba baba yetu [02:31.09]Nelson mandela [02:35.99]Mzee madiba baba yetu [02:42.50]Nelson mandela [02:47.21]Mzee madiba baba yetu [02:53.57]Nelson nelson mandela [02:58.37]Mzee madiba baba yetu